WHO WE ARE

Tanzania Association for Government Communication Officers – (TAGCO) is a  non-profit making organization, registered under the laws of the United Republic of Tanzania. TAGCO draws its members from the Central Government, Local Government Authorities, Government agencies, Independent Departments and Parastatal Organizations or any such government-mandated entities or authorities.

Read More

GALLERY

  • Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Selemani Jafo akisisitiza umuhimu wa Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kutimiza wajibu wao kwa kuisemea Serikali katika maeneo yao kwa kuzingatia weledi na kujituma wakati akifunga Kikao Kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini mapema leo jijini Arusha
  • Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bi. Susan Mlawi akitoa hotuba ya kumkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Selemani Jafo kufunga Kikao Kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini mapema leo jijini Arusha. Picha na Frank Mvungi- MAELEZO
  • Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Mrisho Gambo akiwaasa Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini, hawapo pichani, kutekeleza majukumu yao kwa weledi jijini Arusha. Picha na Frank Mvungi- MAELEZO
  • Mwenyekiti Mstaafu wa TAGCO Bw. Innocent Mungy akipokea cheti kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. Selemani Jafo ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wake. Picha na Frank Mvungi- MAELEZO
  • viongozi wapya wakabidhiwa mikoba
  • VIONGOZI WALIOPITA WA TAGCO WAKIWA NA MKUU WA WILIYA YA KILOSA JOHN HENJEWELE WAKIKABIDHI MADAWATI SHULE YA MSINGI TINDIKA
  • aLIYEKUWA KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI bI. SIHABA nKINGA AKIKATA UTEPE KUASHIRIA UZINDUZI WA CHAMA CHA MAAFISA MAWASILIANO MKOANI MTWRA
  • MAAFISA HABARI WAKIFUATILIA MADA KATIKA KIKAO KAZI MKOANI DODOMA
  • MWENYEKITI ALIYEPITA WA TAGCO AKUIONGEA WAKATI WA UZINDUZI WA CHAMA HICHO MKOANI MTWARA