Mkutano Mkuu wa Maafisa Habari wa Serikali kufanyika March, 2020
- Uncategorized
- January 4, 2020
Frank Mvungi- MAELEZO Maafisa Habari Katika Mkoa wa Mtwara wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa weledi ili kuimarisha mawasiliano ya Serikali kwa umma. Akizungumza na Ujumbe wa chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini (TAGCO) na Idara ya Habari MAELEZO uliomtembelea ofisini kwake , Katibu Tawala wa Mkoa huo Bw. Alfred Luanda amesema kuwa jukumu la
READ MORE