Author's Posts

  • TAGCO Kukutana Jijini Mbeya Mwezi Machi.

    TAGCO Kukutana Jijini Mbeya Mwezi Machi.0

      Na. Paschal Dotto-MAELEZO Kikao kazi cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini (TAGCO) kinatarajia kufanyika Machi 9-13, 2020 Jijini Mbeya ambapo Zaidi ya Maafisa 400 wanatarajia kuhudhuria Mkutano huo ambao utaangazia Zaidi katika kuangalia nini sekta hiyo muhimu imetekeleza katika azma ya kuisemea serikali kwenye kazi inazotekeleza kwa wananchi. Akizungumza katika Mkutano na Waandishi

    READ MORE
  • Mkutano Mkuu wa Maafisa Habari wa Serikali kufanyika March, 2020

    Mkutano Mkuu wa Maafisa Habari wa Serikali kufanyika March, 20201

    Kamati tendaji ya Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini – TAGCO kwa pamoja imekubaliana kuwa Mkutano Mkuu wa Maafisa habari wa Serikali utafanyika Tarehe 09-13/03/2019 katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya. Kamati hiyo imekutana tarehe 3/1/2020 kwenye Ofisi za TAGCO Jijini Dar ss salaam kwa kikao cha kawaida kujadili masuala mbalimbali ya

    READ MORE
  • Maafisa Habari Kuweni Vinara katika Kutangaza Habari za Serikali

    Maafisa Habari Kuweni Vinara katika Kutangaza Habari za Serikali0

    Na Anitha Jonas & Shamimu Nyaki – WHUSM 02/12/2019, Dodoma. Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza amewataka Maafisa Habari nchini kuwa vinara katika kutangaza shughuli mbalimbali za serikali  ikiwemo miradi inayotekelezwa. Mhe.Shonza ametoa kauli hiyo leo Jijini Dodoma alipokuwa akifungua mafunzo ya awamu ya pili ya Maafisa Habari nchini

    READ MORE
  • MAAFISA HABARI SERIKALINI WAAPA KUTOMWANGUSHA RAIS MAGUFULI

    MAAFISA HABARI SERIKALINI WAAPA KUTOMWANGUSHA RAIS MAGUFULI0

    Na Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma   Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wameahidi kuitangaza miradi mbalimbali na kutomwangusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. Wameyasema hayo leo (Ijumaa) wakati wa kufunga mafunzo ya siku tano yaliyolenga kuwanoa katika kuandika kwa usahihi na umakini habari za Serikali.   Akifunga mafunzo

    READ MORE