Maafisa Habari Kuweni Vinara katika Kutangaza Habari za Serikali
- Press Release
- December 2, 2019
Na Anitha Jonas & Shamimu Nyaki – WHUSM 02/12/2019, Dodoma. Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza amewataka Maafisa Habari nchini kuwa vinara katika kutangaza shughuli mbalimbali za serikali ikiwemo miradi inayotekelezwa. Mhe.Shonza ametoa kauli hiyo leo Jijini Dodoma alipokuwa akifungua mafunzo ya awamu ya pili ya Maafisa Habari nchini
READ MORENa Frank Mvungi- Dodoma Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini wa Taasisi na Mashirika ya Umma Jijini Dodoma wamekipongeza Chama Cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini TAGCO kwa kushirikiana na Idara ya Habari MAELEZO kwa kuendelea kusimamia vyema kada ya Mawasiliano Serikalini. Wakizungumza wakati wa ziara ya ujumbe wa Chama hicho na Idara ya Habari
READ MORETAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Katibu Mwenezi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Dkt. Cosmas Mwaisobwa akiongea na waandishi wa Habari (Hawapo pichani) kuhusu kikao kazi cha 15 cha Maafisa Mawasilino Serikalini kitakachofanyika Mkoani Mwanza, Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Hicho Bi. Sarah Kibonde na kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari-MAELEZO
READ MORENa: Frank Shija – Idara ya Habari –MAELEZO, Singida Halmashauri zote nchini zimetatikiwa kuwa na mkakati wa mawasiliano utakaotumikakufikisha taarifa za utekelezaji wa sshughuli za maendeleo kwa wananchi. Wito huo umetolewa leo Wilayani Mkalama mkoani Singida na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari MAELEZO, Bibi. Zainabu Kawawa wakati wa ziara ya kutembelea na kujionea changamoto
READ MOREFrank Mvungi- MAELEZO Maafisa Habari Katika Mkoa wa Mtwara wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa weledi ili kuimarisha mawasiliano ya Serikali kwa umma. Akizungumza na Ujumbe wa chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini (TAGCO) na Idara ya Habari MAELEZO uliomtembelea ofisini kwake , Katibu Tawala wa Mkoa huo Bw. Alfred Luanda amesema kuwa jukumu la
READ MORENa: Lilian Lundo – MAELEZO, Arusha. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo ametoa agizo kwa Ofisi za Mikoa na Halmashauri zote nchini kutenga fedha kwa ajili ya ununuzi wa vifaa kwa vitengo vya Mawasiliano ili viweze kutekeleza majukumu yake. Mhe. Jafo ametoa agizo hilo
READ MORE