Mafunzo ya Itifaki yaliyofanyika ukumbi wa Karimjee Dar es salaam0
- Press Release
- February 13, 2018
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KIKAO KAZI CHA 13 CHA MAAFISA HABARI, MAWASILIANO, UHUSIANO NA ITIFAKI SERIKALINI Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa kushirikiana na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kimeandaa kikao kazi cha Maafisa Habari, Mawasiliano, Uhusiano na Itifaki wa Wizara, Idara zinazojitegemea, Taasisi, na Wakala wa Serikali (MDAs)
READ MORE