- This event has passed.
KIKAO KAZI CHA MAAFISA HABARI NA MAWASILIANO
March 9, 2020 - March 13, 2020
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, kwa kushirikiana na Idara ya Habari Maelezo na Chama cha Maafisa Habari Serikalini (TAGCO) wameandaa kikao kazi cha Maafisa Habari, Mawasiliano, Uhusiano na Itifaki wa Wizara, Idara zinazojitegemea, Taasisi, na Wakala wa Serikali (MDAs) kitakachofanyika Mkoani Mwanza kuanzia tarehe 9– 13 Machi 2020.