Maafisa Uhusiano na Mawasiliano wahitimu kozi ya akili bandia za kuzalisha (Artificial intelligence) na Uchambuzi wa Data za Kijiditali (Digital data analytics) yaliyondeshwa na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa Kushirikiana na Chama cha Maafisa Uhusiano Tanzania (PRST) ambayo yalianza tarehe 10/12/2024 na kuhitimishwa tarehe 13/12/2024 Mjini Morogoro.
Katibu wa TAGCO Byarugaba Innocent alifunga mafunzo hayo kwa niaba ya Mwenyekiti wa TAGCO Karimu Meshack.

