All News

WhatsApp Image 2025-04-03 at 17.26
RC Malima awakaribisha Maafisa Mawasiliano Mkoani Morogoro.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima amewakaribisha maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa serikali wanaotarajia kukutana kwenye mkutano wao wa mwaka utakofanyika mkoani Morogoro kuanzia tarehe 8-12 machi, 2025....
485044047_1289724082086960_4363065772737838003_n
Mkutano mkuu wa mwaka wa TAGCO kufanyika Morogoro kuanzia April 08, 2025
Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Maofisa Mawasiliano wa Serikali (TAGCO) unatarajiwa kufanyika mkoani Morogoro kuanzia tarehe 08-12 APRILI 2025. Kwa Mujibu wa Mwenyekiti wa TAGCO Bw. Karimu Meshack, katika Mkutano Mkuu...
448576253_892140199623092_8408452711303561424_n
TAGCO yatembelea kituo cha kulelea watoto yatima
Maafisa Habari wa Serikali wametembelea kituo cha kulea watoto yatima na wasio na makazi cha Chakuwama (Chakuwama Orphanage) kilichopo Mtaa wa Sinza jijini Dar es Salaam na kukabidhi vifaa mbalimbali vitakavyowawezesha watoto...
Screenshot 2025-03-27 195711
TAGCO na PRST yatoa mafunzo ya akili bandia
Maafisa Uhusiano na Mawasiliano wahitimu kozi ya akili bandia za kuzalisha (Artificial intelligence) na Uchambuzi wa Data za Kijiditali (Digital data analytics) yaliyondeshwa na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO)...
Scroll to Top