RC Malima awakaribisha Maafisa Mawasiliano Mkoani Morogoro.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima amewakaribisha maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa serikali wanaotarajia kukutana kwenye mkutano wao wa mwaka utakofanyika mkoani Morogoro kuanzia tarehe 8-12 machi, […]




