All News
April 3, 2025
admin
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima amewakaribisha maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa serikali wanaotarajia kukutana kwenye mkutano wao wa mwaka utakofanyika mkoani Morogoro kuanzia tarehe 8-12 machi, 2025....
March 27, 2025
admin
Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Maofisa Mawasiliano wa Serikali (TAGCO) unatarajiwa kufanyika mkoani Morogoro kuanzia tarehe 08-12 APRILI 2025. Kwa Mujibu wa Mwenyekiti wa TAGCO Bw. Karimu Meshack, katika Mkutano Mkuu...
March 27, 2025
admin
Maafisa Habari wa Serikali wametembelea kituo cha kulea watoto yatima na wasio na makazi cha Chakuwama (Chakuwama Orphanage) kilichopo Mtaa wa Sinza jijini Dar es Salaam na kukabidhi vifaa mbalimbali vitakavyowawezesha watoto...
March 27, 2025
admin
Maafisa Uhusiano na Mawasiliano wahitimu kozi ya akili bandia za kuzalisha (Artificial intelligence) na Uchambuzi wa Data za Kijiditali (Digital data analytics) yaliyondeshwa na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO)...
No posts found
