Maafisa Habari wa Serikali wametembelea kituo cha kulea watoto yatima na wasio na makazi cha Chakuwama (Chakuwama Orphanage) kilichopo Mtaa wa Sinza jijini Dar es Salaam na kukabidhi vifaa mbalimbali vitakavyowawezesha watoto hao kujikimu.