Mkutano Mkuu wa Maafisa Habari wa Serikali kufanyika March, 2020
- Uncategorized
- January 4, 2020
Baadhi ya washiriki waliofika kwenye Kikao cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali kinachofanyika katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) leo Mei 24, 2021.
READ MORENa. Paschal Dotto-MAELEZO Kikao kazi cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini (TAGCO) kinatarajia kufanyika Machi 9-13, 2020 Jijini Mbeya ambapo Zaidi ya Maafisa 400 wanatarajia kuhudhuria Mkutano huo ambao utaangazia Zaidi katika kuangalia nini sekta hiyo muhimu imetekeleza katika azma ya kuisemea serikali kwenye kazi inazotekeleza kwa wananchi. Akizungumza katika Mkutano na Waandishi
READ MOREKamati tendaji ya Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini – TAGCO kwa pamoja imekubaliana kuwa Mkutano Mkuu wa Maafisa habari wa Serikali utafanyika Tarehe 09-13/03/2019 katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya. Kamati hiyo imekutana tarehe 3/1/2020 kwenye Ofisi za TAGCO Jijini Dar ss salaam kwa kikao cha kawaida kujadili masuala mbalimbali ya
READ MORENa Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wameahidi kuitangaza miradi mbalimbali na kutomwangusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. Wameyasema hayo leo (Ijumaa) wakati wa kufunga mafunzo ya siku tano yaliyolenga kuwanoa katika kuandika kwa usahihi na umakini habari za Serikali. Akifunga mafunzo
READ MORE