Kikao Kazi cha 15 cha Maafisa Habari, Mawasiliano, Uhusiano na Itifaki Serikalini0
- Press Release
- February 13, 2019
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Katibu Mwenezi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Dkt. Cosmas Mwaisobwa akiongea na waandishi wa Habari (Hawapo pichani) kuhusu kikao kazi cha 15 cha Maafisa Mawasilino Serikalini kitakachofanyika Mkoani Mwanza, Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Hicho Bi. Sarah Kibonde na kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari-MAELEZO
READ MORE